Anti nashindwa kumuelewa mume niliyenaye na hiki kinanipa shida sana. Huu ni mwaka wa sita nipo naye hajawahi kunisifua nikipendeza wala kunikosoa nisipopendeza. Ilimradi tunaishi tu. Huwa ...
Simba inaianza safari ya michuano ya Kombe la Shirikisho ikiwa nyumbani kuikaribisha Kilimanjaro Wonders, huku kocha msaidizi ...