RAIS wa Kenya William Ruto ametangaza mkutano wa kilele wa EAC utajadili hatua za namna ya kutafuta utatuzi wa mgogoro ...
SERIKALI ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo inasema inajitahidi kuepusha mauaji mjini Goma, lakini haitaachia eneo lolote ...
RAIS wa Urusi Vladimir Putin na yule wa China Xi Jinping wamempongeza rais wa Belarus Alexander Lukashenko kwa kupata ushindi ...
UBELGIJI : MAWAZIRI wa Mambo ya Nje wa Umoja wa Ulaya wanakutana mjini Brussels, Ubelgiji, kujadili iwapo vikwazo dhidi ya ...
MKURUGENZI wa Msama Promotions, Alex Msama, amepokea tuzo ya heshima kutoka kwa Chama cha Muziki wa Injili Tanzania (CHAMUITA ...
MPAKA kati ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na Rwanda umefungwa kufuatia mashambulizi ya waasi wa M23, ambao wamevamia ...
SHIRIKA la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) limelazimika kusitisha shughuli zake mjini Goma ...
DAR ES SALAAM: NAIBU Waziri Mkuu na Waziri @wizara_ya_nishati_tanzania Dk. Doto Biteko akitoa hotuba ya utangulizi katika ...
Kampeni ya Kitaifa ya Msaada ya Kisheria ya Mama Samia imefanikiwa kutoa suluhu ya kudumu kwa takribani migogoro 1,505 kati ...
Dk. Biteko amesema baada ya kupata uhuru mwaka 1960, Nchi za Afrika zimepiga hatua kubwa katika kuzalisha na kusambaza umeme ...
PALESTINA : KIONGOZI wa Palestina Mahmud Abbas na kundi la Hamas wamekataa kukubaliana na mapendekezo ya kuwaondoa ...
NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko amesema kuwa Tanzania inachukulia mkutano wa Nishati wa Wakuu wa Nchi ...