Kipengele cha leo kinaelezea namna ya kuisajili kama kadi ya bima ya afya. Kama tayari uko na Kadi ya My Number, utaweza kuitumia kama kadi ya bima ya afya punde utakapokamilisha mchakato wa ...